1.
Katika wingi wa hekima mna wingi wa ___naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko (1:18)
2.
Macho ya mwenye hekima yamo kichwani mwake lakini mpumbavu huenda ___(2:14)
3.
Nani atamwuma yeye abomoaye boma (10:8)
4.
Kila kitu amekifanya kizuri kwa _____(3:11)
5.
Mhubiri asema hakuna mwisho wowote wa kutunga___(12:12)
6.
Kwa maana hekima ni ___(7:12)
7.
Kitabu hichi kina sura ngapi?
8.
Mhubiri alikua mwana wa nani? (1:1)
9.
Hakuna jambo ___ chini ya jua. (1:9)
10.
Jina jingine la Mhubiri aliitwa nani?
11.
Yaliyopotoka hayawezi___(1:15)
12.
Kuna wakati wa kupenda na wakati wa ___(3:8)
13.
Kuna wakati wa kulia na wakati wa __(3:4)
14.
Fedha huleta jawabu la mambo yote? (10:19)
15.
Mkumbuke muumba wako siku za ____(12:1)