2.
Ni makanisa mangapi yaliyokuwa Asia?
3.
Aliyeketi katika kiti cha enzi alikuwa amebeba nini?
4.
Yohana aliyaonea maono yake akiwa kisiwa gani?
6.
Je ni nani aliyetumwa katika makanisa hayo ?
8.
Ni nani aliyekuwa akimpa maagizo Yohana?
9.
Ni nani aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi Yohana alichokiona?
10.
Viti vingapi nilikizunguka kile kiti?
11.
Je ni nani aliyeweza kukifungua kitabu?
12.
Walioketi katika viti hivyo walikuwa na nini?
13.
Zile taa saba zilikuwa zinawakilisha nini?
14.
Pande zote za kiti cha enzi kulikiwa wakina nani?
15.
Walisema Maneno gani hayo?