1.
Baada ya Adamu na Hawa kula tunda walijiona kuwa?
2.
Ni laana gani aliopewa Eva na Mungu baada ya kula tunda?
3.
Ni sadaka ya nani ambayo Bwana aliitakabali?
4.
Nuhu alimtuma nani kwenda nje ya safina kuangalia kama maji yameisha nshi kavu?
5.
Nuhu alikua na watoto wangapi?
6.
Kabla ya kutengana Abramu na Lutu, Lutu alichagua upande wa nchi gani?
7.
Ni nani aligeuka kuwa nguzo ya chumvi?
8.
Mungu alimbadilisha jina Yakobo na kumwita nani?
10.
Isaka alimbariki mtoto wake yupi?
11.
Yakobo alioa mabinti wa nani?
13.
Baada ya Yusufu kufasiri ndoto gerezani ni yupi alimwambia akitoka asimsahau?
14.
Ni yupi kati ya mabinti wa Labani aliyeolewa wa kwanza na Yakobo?
15.
Yusufu alikufa akiwa na miaka mingapi?