MASWALI YA KITABU CHA KUTOKA II Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA KUTOKA II 1. Musa aliwanywesha wana wa Israeli nini baada ya kutoka mlimani?? Maji ya upako Mavumbi ya miungu ya ndama Damu Divai 2. Mtoto wa kwanza wa Musa aliitwa nani? Gershomu Huri Yoshua Eliezeri 3. Walawi walichinja Waasi wapatao wangapi? 200 2000 3000 5000 4. Maji ya mara yalikua na ladha gani? Machungu Maziwa Matamu Yasiyo na ladha 5. Wazalishaji wa waebrania walikua ni wangapi? 2 4 7 5 6. Kwanini Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu? Ili kuwatoa Israeli utumwani Ili kumkomoa Ili ajipatie utukufu Ili kumtesa 7. Miji ya Farao iliyokua ikitumiwa kuwekea akiba ni ipi? Misri Refidimu Sukothi Pithomu na Ramesesi 8. Mungu alimpa Musa kazi gani? Kuwa Nabii Kuwatoa wana wa Israeli watoke Misri Kuwa kuhani Kufunga na kuomba 9. Kuhani wa midian alikua na binti wangapi? 1 7 2 5 10. Haruni na wanawe waliitwa na Mungu kufanya kazi gani? Kuimba na kucheza Kuomba Kupigana Ukuhani 11. Musa alipozaliwa alifichwa kwa mda gani? Miezi 4 Miezi 6 Miezi 3 Mwaka 12. Musa alikimbilia nchi gani baada ya kujulikana kuwa aliua? Refidimu Midiani Sini Misri 13. Manyunyizo ya damu katika nyumba za waisraeli ziliwakisha nini? Sadaka Ulinzi Madhababu Alama yao Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up