1.
Isaya alikua mwana wa nani? (1:1)
2.
Ni miji gani inatajwa katika ( 1:10)
3.
Kitabu cha isaya kina sura ngapi?
4.
Isaya alitumikia wapi kama nabii? (1:1)
5.
Nanyi mkunjuapo mikoni yenu, nitafichaa macho yangu nisiwaone, naam mwombapo maombi mengi, sitasikia, mikono yenu imejaa ____(1:15)
6.
"Nami sifurahii damu ya ngombe wala ya wanakondoo wala ya mbuzi zangu" (1:11) Nani alisema kauli hii?
7.
Kama mkikubali na kutii mtakula____(1:19)
8.
Katika ( 1:27) Sayuni itakombolewa kwa_____.
9.
Bwana alimwambia Mfalme Ahazi amwombe ishara kutoka kwake? (7:11)
10.
Bikira atachukua mimba na atazaa mtoto mwanamume naye atamwita jina lake___(7:14)
11.
Mtoto wa pili wa Daudi aliitwa nani? (7:3)
12.
Ni maji ya wapi yalijaa damu? (15:9)
13.
Senakeribu alikua mfalme wa wapi? (36:1)
14.
"____nayo hautoshi kwa kuni, wala wanyama wake hawatoshi kwa kafara ( 40:16)
15.
" Mtanifananisha na nani basi, nipate kuwa sawa naye? " Maneno haya yalisemwa na nani? (40:25)
Amina