1.
Mama mkwe wa Ruthu aliitwa nani?
3.
Mume wa kwanza wa Ruthu aliitwa nani?
4.
Ruthu alienda kwa shamba la nani kuokota masuke waliyoyaacha wavunaji?
5.
Mama mkwe wa Ruthu ( Naomi) alijibadilisha jina na kuitwa nani?
6.
Ni kiasi gani cha debe Ruthu alipata baada ya kupura shayiri?
7.
Ni kitu gani Naomi alimwambia Ruthu kufanya baada ya kumwona Boazi amelala?
8.
Zamani katika Israel ni njia gani waliitumia watu kukomboa au kubadilishana vitu?
9.
Ruthu alimpa jina gani mtoto wake?
10.
Elimeleki alikua na watoto wangapi?
11.
Ni nani aliondoka na kuongozana na Naomi kuelekea Bethlehemu?
12.
Mume wa Naomi alitokea wapi?
13.
Ni kwasababu gani familia ya Elimeleki walihama na kuelekea Moabu?
14.
Watoto wa kiume wa Naomi waliitwa nani?
15.
Nani alikuwa wa kwanza kufia Moabu?
asante kwa maswali mazuri
nitumieni maswali ya masomo mengine
mbarikiwe
Amen