1.
Mitume waliambiwa wasitoke wapi mpaka waingoje Ahadi ya Roho Mtakatifu?
2.
Je ni nani na nani walioficha siri ya thamani ya kiwanja walichokiuza?
3.
Je ni nani aliyewatoa gerezani Mitume?
4.
Stefano aliuwawa kwa kufanyaje?
5.
Yule Mkushi alikuwa anasoma Kitabu cha Nabii gani?
6.
Ni nani aliyeliharibu Kanisa la Mungu kwa kuwaua baadhi ya Mitume?
7.
Nani aliyetaka kutoa fedha kwa Mitume ili apewe Uwezo wa Kutoa Roho Mtakatifu,?
8.
Sauli alipatwa na nini alipokuwa anaenda Dameski?
9.
Bwana Yesu alisema na nani kwenda kumponya Sauli?
10.
Ni Mwanamke gani aliyekuwa amejaa Matendo mema Na sadaka alizozitoa?
11.
Aliyetajwa kuwa Mtauwa,Machaji na Kuwapa watu sadaka nyingi ni nani?
Anania na Safira
Amen..Bwana akubariki