Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe, karibu ujifunze kwa kupitia ndoto…….. Mara nyingi ndoto tuotazo huwa zinakuja kwa shughuli nyingi..lakini ikitokea imekuja kwa uzito kidogo, basi yakupasa utafute maana halisi… Kuota mti au kuuona mti kwenye ndoto kuna maana nyingi kulingana na ujumbe ambao Bwana anataka kuufikisha, maandiko yameeleza wazi nini maana ya mti… Marko 8:24…
Month: October 2022

PASIPO MIMI NINYI HAMWEZI NENO LOLOTE
Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lisifiwe milele na milele….. Karibu tujifunze Maneno ya uzima….. Ilimpendeza Mungu kuachia Neno lake kwa njia ya maandishi ili itusaidie sisi…ni sawa na mtu aliyeandika waraka ukasomwe mahali fulani, kuonyesha ni neno lake lilelile ila kalieka kwa njia ya uandishi…..basi imetupasa tuwe watu wakulisoma sana Neno lake ili tupate…

UMEPATA FAIDA GANI?
Nakusalimu kwa jina la Mkuu wa ulimwengu hu na ule ujao YESU KRISTO….ni Neema kwetu kuiona siku mpya kwa maana lipo kusudi ndani yake…. Karibu tuyatafakari Maneno yake ya uzima ambayo ndiyo taa na mwanga wa maisha yetu… Kuna vitu sisi wanadamu tukivifanya na kuviona havina umuhimu kwetu ni rahisi kuachana navyo au kuvikatia tamaa…