1.
Hamani alikua na watoto wangapi ? (9:10)
2.
Mordekai alikua nani kwa Esta? (2:7)
3.
Ni kweli Esta alikua yatima? (2:7)
4.
Vashti alipewa adhabu gani na Mfalme? (1:9)
5.
Jina lingine la Esta aliitwa nani? (2:7)
6.
Kwanini Hamàni aliona kuwa yeye anastasia heshima ya kua mfalme? (3:2)
7.
Ni nani alikua mtu wa karibu sana kwa Mfalme? (3:1-13)
8.
Hamani alikua mtu wa kabila gani? (3:1)
9.
Ni kitu gani Mfalme alimhaidi kumpa Esta haha kama akihitaji kutoka kwake? ( 5:3)
10.
Esta aliomba nini kutoka kwa Mfalme? (5:4)
11.
Ni kitu gani mfalme alimpa mordekai? ( 8:2)
12.
Nani alisema " Nami nikiangamia na niangamie? (4:16)
Mungu awabariki
Amen..ubarikiwe wewe nawe..