____maswali ya biblia_____
1.je Danieli ni kabila gani?
_______________
2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi?
______________
3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani?
________________
4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi?
________________
5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya?
__________________
6.je katika biblia ni nani aliye ishi maiaka mingi zaidi?
__________________
7.je Isaka alikuwa na watoto wakiume wangapi.
____________
8.je kwanini Yusufu alichukiwa na ndugu zake?
_______________
9.Je Israeli maana yake nini?
________________
10. Je Musa alifia wapi?
________________
Ubarikiwe na Bwana .shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618
06/03/2023
_____MASAHIHISHO_____
MTIHANI WA BIBLIA (part 18)
____maswali ya biblia_____
1.je Danieli ni kabila gani?
Jibu. Kabila la Yuda
Soma. Danieli 1:3-6
_______________
2.je ni nabii gani aliye agizwa na Mungu kutembea uchi?
Jibu. Nabii ISAYA
Soma. Isaya 20:1-6
______________
3.je ni Nabii gani aliye tabiri kufa kwa Mfalme Ahabu vitani?
Jibu. Nabii Mikaya
Soma. 1wafalme 22:13-28
________________
4.wenye uhai wa 4 wana sura ngapi?
Jibu. Wana sura 4
1)uso wa simba
2)uso wa ndama
3)uso wa binadamu
4)uso wa tai
Soma. Ezekieli 1;10 na ufunuo 4:6-7
________________
5. Je hekalu la Mungu linawakilisha nini kwetu sisi katika agano jipya?
Jibu. MIILI YETU
Soma. 1wakorintho 3;16-17
__________________
6.je katika biblia ni nani aliye ishi maiaka mingi zaidi?
Jibu. MATHUSELA (miaka 969)
__________________
7.je Isaka alikuwa na watoto wakiume wangapi.
Jibu. Wawili
1)ESAU
2)YAKOBO
Soma. Mwanzo 25;20-26
____________
8.je kwanini Yusufu alichukiwa na ndugu zake?
Jibu. 1) alipendwa zaidi na baba yake kuliko watoto wengine wote naalipendelewa zaidi.
Soma. Mwanzo 37;3-4
2)kwasababu ya ndoto zake ambazo Bwana Mungu alikuwa akimwonyesha.
Soma. Mwanzo 37-5
_______________
9.Je Israeli maana yake nini?
Jibu. Mshindi (mshindani)
Soma. Mwanzo 32;28
________________
10. Je Musa alifia wapi?
Jibu. MLIMA NEBO
Soma. Kumbukumbu la torati 34;1
________________
Ubarikiwe na Bwana .shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618