Menu
NDOTO ZANGU
  • ORODHA YA NDOTO
  • MASOMO YA WANAWAKE
  • QUIZZES/ MITIHANI YA BIBLIA
NDOTO ZANGU

Month: November 2022

KUOTA MOTO UMEWAKA

Posted on November 17, 2022

Karibu sana katika tovuti hii ya ndoto zangu ili uweze kujifunza kwa kupitia ndoto uotazo… Jina la Yesu Kristo lihimidiwe milele yote…. Maandiko yanasema Mungu anasema na sisi kupitia ndoto tuotazo,yawezekawa mara moja mpaka mara tatu kwa lengo la kusisisitiza ndoto hiyo… Na ndoto nyingi huja kulingana na shughuli zetu nyingi na mihangaiko mingi ya…

Tusiviangalie Vinavoonekana,bali Visivyoonekana”

Posted on November 14, 2022November 14, 2022

Karibu tujifunze Maneno ya Mungu,Muumba mbingu na nchi,yeye aliyekuwepo tangu misingi ya ulimwengu hu haijawekwa 1 Petro 1:20 Ni neema za Bwana wetu Yesu Kristo kuiona siku nyingine ili tuweze kuongeza maarifa katika kumjua yeye milele yote….. Maandiko yanatuambia tusiviangalie vinavyoonekana bali visivyoonekana, na leo tutavijua vinavyoonekana ni vipi na visivyoonekana ni vipi.. 2 Wakorintho…

KUISHI MAISHA MATAKATIFU INAWEZEKANA KABISA

Posted on November 8, 2022November 14, 2022

Kabla ya kuendelea na namna ya kuishi maisha matakatifu, tuelewe kwanza nini maana ya maisha matakatifu Maisha matakatifu ni maisha yasiyokuwa na uchafu ndani yake, maisha ambayo yanaendana kwa kuyafanya  mapenzi ya Mungu kama alivyo agiza katika neno lake, pia ni maisha yasiyotawaliwa na mawazo maovu mfano uzinzi, usherati, wizi, ugomvi, fitina, uongo, chuki, hasira,…

  • Previous
  • 1
  • 2
  • 3

Palipo na Roho wa Bwana hapo ndipo penye uhuru
©2025 NDOTO ZANGU | Powered by SuperbThemes & WordPress