MASWALI YA KITABU CHA MWANZO Welcome to your MASWALI YA KITABU CHA MWANZO I Hapo mwanzo Mungu aliumba nini? Samaki Bahari Mbingu na nchi Binadamu Mungu alipumzika siku ya ngapi? Add description here! Kwanza Pili Tatu Saba Kisima ambacho alichimba Isaka ambacho hakikugombaniwa na wachungaji wa Gerari? Sitna Eseki Rehobothi Nani alimwuzia mwenzake haki ya mzaliwa wa kwanza? Esau Ibrahimu Kaini Yakobo Binadamu wa kwanza kuumbwa alikua nani? Mwanamke Mwanaume Yusufu aliuzwa kwa watu gani? Wamisri Beer-sheba Waishmaeli Wagareri Kijakazi wa Sarai alikua nani? Rebeka Hajiri Dina Raheli Mungu aliuteketeza miji gani kwa kibiriti na moto?? Misri Sodoma na Gomora Gerari Kaanani Baada ya Kaini kumuua Habili Mungu alimwekea nini Kaini kama ulinzi kwake? Nyota Alama Fimbo Wanyama Nani alomdanganya Eva kula tunda la mti wa uzima? Mwenyewe Nyoka Adamu Ni agano gani Mungu aliloweka kati ya yake na nchi baada ya Nuhu na wote kutoka ndani ya safina? Upinde mawinguni Ya sadaka ya kuteketezwa La damu Ya kulindwa Kaini alikua anafanya kazi gani? Mchunga kondoo Mwokaji Mvuvi Mkulima Nani alimsaidia Farao kufasiri ndoto? Waganga Yusufu Mwokaji Mnyweshaji Adamu aliishi miaka mingapi? 150 100 930 69 Nani alipata neema machoni pa Mungu na kughairi mabaya kwao? Ibrahimu Nuhu Lameki Henoko 1 out of 1 Please fill in the comment box below. Time is Up! Time's up
Amina sana m,Bwana akubariki mpendwa wetu
RACHEL JOHN LUTIGA
Mungu awabariki
Amen akubariki nawe pia..
Amen.
Ubarikiwe sana sana pia
Amen
Asante kwa maswali
Shalom maswal mazuri ya kutujenga kiimani Asante sana
Nzuri