___Maswali ya biblia___
1.yule mkushi alikuwa anasoma kitabu gani alipo kutana na filipo?
________________
2.je amri ya 6 inasemaje?
________________
3.je vile vinara saba vya taa vinawakilisha nini katika agano jipya?
_________________
4.Katika waraka wa Yuda, je Yuda aliwaandikia akina nani?
________________
5.Je ni mwanamke gani katika biblia aliye leta miungu katika Israeli?
________________
6.wakati Bwana amefufuka ni nani aliye sema hataamini mpaka atakapo mwona Bwana kwa macho?
________________
7.je wenye uhai wanne wana mabawa mangapi?
_________________
8. Bwana Yesu ule mfano wa mpanzi, je mbegu ilikuwa ina maana gani?
_________________
9.je ni nani aliye mdanganya Hawa?
__________________
10. Je LUTU alikuwa na watoto wangapi?
___________________
Ubarikiwe na Bwana ,shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618
05/03/2023
MASAHIHISHO YA MTIHANI LEO
MTIHANI WA BIBLIA (part 17)
___Maswali ya biblia___
1.yule mkushi alikuwa anasoma kitabu gani alipo kutana na filipo?
Jibu. Isaya 53;7-8
________________
2.je amri ya 6 inasemaje?
Jibu. Usiue
Soma. Kutoka 20;13
________________
3.je vile vinara saba vya taa vinawakilisha nini katika agano jipya?
Jibu. Makanisa saba
1)Efeso
2) Smirna
3)Pergamo
4)Thiatira
5)Sardi
6)Filadelfia
7)Laokadia (tulilopo sasa)
Soma ufunuo 1;20
_________________
4.Katika waraka wa Yuda, je Yuda aliwaandikia akina nani?
Jibu. Kanisa la Kristo ulimwenguni kote (walio itwa)
Soma Yuda 1;1
Pia ukihitaji kujifunza juu ya kitabu hiki mafundisho yake na maonyo yake tutafute kwa namba hizi 0652274252 au 0693036618
________________
5.Je ni mwanamke gani katika biblia aliye leta miungu katika Israeli?
Jibu. YEZEBELI
Soma. 1Wafalme 16:31-33 pia soma 1wafalme 19:1-2
________________
6.wakati Bwana amefufuka ni nani aliye sema hataamini mpaka atakapo mwona Bwana kwa macho?
Jibu. Tomaso
Soma. Yohana 20;24-29
________________
7.je wenye uhai wanne wana mabawa mangapi?
Jibu. SITA
Soma. Ufunuo 4:8
_________________
8. Bwana Yesu ule mfano wa mpanzi, je mbegu ilikuwa ina maana gani?
Jibu. NENO LA MUNGU
soma. Luka 8;11
_________________
9.je ni nani aliye mdanganya Hawa?
Jibu. Nyoka
Soma. Mwanzo 3;1-5
__________________
10. Je LUTU alikuwa na watoto wangapi?
Jibu. Watoto wanne
=Wawili mabinti zake aliotoka nao sodoma
=Wawili ni kwa mabinti zake yeye mwenyewe (walipo mlevya baba yao na kulala nae) watoto hao ni Moabu na Benami.
___________________
Ubarikiwe na Bwana ,shea na kwa wengine.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618