1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa?
________________
2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake?
_______________
3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme?
____________________
4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi?
___________________
5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa agizo la Bwana?
___________________
6.Ni mfalme gani aliye tumia vyombo vya hekaluni kwa anasa Mungu akamwadhibu siku hiyo hiyo?
_______________
7.Je ni nabii gani aliye tabiri kutoroka kwa mfalme Sedekia kwa kuuvunja ukuta wa yerusalemu kisha kukamatwa na kupelekwa babeli?
________________
8.Ni nabii gani aliye tabiri kukamatwa kwa paulo na kufungwa miguu na mikono?
__________________
9.je ni Nabii gani aliye tabiri (wakati wa kanisa la kwanza la mitume) ujio wa njaa kubwa kutokea katika dunia nzima katika siku za Klaudio.
___________________
10.Je ni nani aliye itabiria Yuda kuwa yeyote atakaye baki hapo Yuda atakufa kwa makali ya upanga na kwa njaa ,bali atakaye toka kumtumikia mfalme wa Babeli ataishi?
____________________
Mtihani mwema Mjoli wa BWANA.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618
01/03/2023
MASAHIHISHO YA MTIHANI LEO
MTIHANI WA BIBLIA (PART 13)
(MASWALI YA BIBLIA)
1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa?
Jibu. MIKALI
Soma. 1Samweli 18:27-28
________________
2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake?
Jibu. YORDANI
Soma.2Wafalme 5:10-14
_______________
3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme?
Jibu. YUDA
Soma. Mwanzo 49:10 pia soma. 2Samweli 7:16-17
____________________
4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi?
Jibu. Mara tatu
=Mara ya kwanza Bethlehemu (nyumbani kwa Yese) 1samweli 16:12-13
=Mara ya pili Hebroni kuwa mfalme wa Yuda 2samweli 2:3-4
=Mara ya tatu Hebron kuwa mfalme wa Israeli. Soma 2Samweli 5:2-4
___________________
5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa agizo la Bwana?
Jibu. ANTIOKIA
Soma. Matendo ya mitume 13:1-3
___________________
6.Ni mfalme gani aliye tumia vyombo vya hekaluni kwa anasa Mungu akamwadhibu siku hiyo hiyo?
Jibu. BELSHAZA (mfalme wa Babeli)
Soma. Danieli 5:1-31
_______________
7.Je ni nabii gani aliye tabiri kutoroka kwa mfalme Sedekia kwa kuuvunja ukuta wa yerusalemu kisha kukamatwa na kupelekwa babeli?
Jibu. NABII EZEKIELI
Soma. Ezekieli 12:1-13
________________
8.Ni nabii gani aliye tabiri kukamatwa kwa paulo na kufungwa miguu na mikono?
Jibu. NABII AGABO
Soma. Matendo ya mitume 21:10-13
__________________
9.je ni Nabii gani aliye tabiri (wakati wa kanisa la kwanza la mitume) ujio wa njaa kubwa kutokea katika dunia nzima katika siku za Klaudio.
Jibu. NABII AGABO
Soma. Matendo ya mitume 11:28
___________________
10.Je ni nani aliye itabiria Yuda kuwa yeyote atakaye baki hapo Yuda atakufa kwa makali ya upanga na kwa njaa ,bali atakaye toka kumtumikia mfalme wa Babeli ataishi?
Jibu. NABII YEREMIA
Soma. Yeremia 21:1-10
____________________
BWANA YESU akubariki Mjoli wa BWANA.
@NURU YA UPENDO
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618