Ndoto hii ni kutoka kwa Adui shetani, haijalishi kinachokukimbiza ni nini?.. kama ni mtu, mnyama, ndege, nyoka, au chochote kile ni kutoka kwa Yule adui.… Siku zote kitu kinachokimbizwa ni kitu kilicho dhaifu, cha kuwindwa ili kiliwe, au kiharibiwe, Kama unaota unakimbizwa na watu waovu, tafsiri yake ni shetani anakutafuta akudhuru au akuue, kama unakimbizwa…