1.Ni mfalme gani aliye pigwa na malaika akaliwa na chango?
__________________
2.Ni nani aliye muua simba na dubu katika biblia?
___________________
3.(Mkumbuke Muuba wako siku za ujana wako) je! kifungu hiki kinapatikana kitabu gani na mstari wa ngapi?
___________________
4.Je! Bwana Yesu alizaliwa katika mji gani?
__________________
5.Baba yake Yohana mbatizaji anaitwa nani?
___________________
6.Ni mtoto gani wa Daudi aliye mtesa Daudi?
__________________
7.Kaka yake Musa anaitwa nani?
__________________
8.Ni nani aliye simamisha jua wakati wa vita dhidi ya israeli?
___________________
9.Ni nini maana ya Thenashara?
___________________
10.Ni nani aliye shindana na malaika mweleka akashinda?
__________________
mtihani mwema mwanafunzi bora wa Kristo.
@Nuru-ya-upendo
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0652274252
**************************************
________MASAHIHISHO_______
1.Ni mfalme gani aliye pigwa na malaika akaliwa na chango?
Jibu: HERODE ____
2.Ni nani aliye muua simba na dubu katika biblia?
Jibu: DAUDI. ____
3.(Mkumbuke Muuba wako siku za ujana wako) je! kifungu hiki kinapatikana kitabu gani na mstari wa ngapi?
Jibu: MHUBIRI 12:1. ____
4.Je! Bwana Yesu alizaliwa katika mji gani?
Jibu: BETHLEHEMU ____
5.Baba yake Yohana mbatizaji anaitwa nani?Jibu: ZAKARIA_____
6.Ni mtoto gani wa Daudi aliye mtesa Daudi?
Jibu: ABSALOMU______
7.Kaka yake Musa anaitwa nani?
Jibu: HARUNI________
8.Ni nani aliye simamisha jua wakati wa vita dhidi ya israeli?
Jibu: YOSHUA MWANA WA NUNI_______
9.Ni nini maana ya Thenashara?
Jibu: KUMI NA MBILI (12)____
10.Ni nani aliye shindana na malaika mweleka akashinda?
Jibu: YAKOBO (ISRAELI)_______
Bwana Yesu awabariki wote mlio ufanya mtihani huu.
@Nuru-ya-upendo
www.wingulamashahidi.org
0652274252 au 0693036618