{"id":254,"date":"2022-02-08T08:09:10","date_gmt":"2022-02-08T08:09:10","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=254"},"modified":"2022-02-08T08:09:10","modified_gmt":"2022-02-08T08:09:10","slug":"unapoota-ajali-nini-maana-yake","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/02\/08\/unapoota-ajali-nini-maana-yake\/","title":{"rendered":"UNAPOOTA AJALI NINI MAANA YAKE?"},"content":{"rendered":"<p>Mtu anaweza kuota kapata ajali ya pikipiki, au ya gari, wengine wengine ajali za ndege, wengine treni, katika namna tofauti tofauti. Wengine wanaota mtu kagongwa na gari, au magari yanagonga gongana n.k\u2026<\/p>\n<p>Sasa hizi ndoto zinawajia watu wa makundi makuu mawili<\/p>\n<p><strong>1.) Kundi la kwanza ni waliompokea Yesu (yaani waliokoka).<\/strong><\/p>\n<p><strong>2) Kundi la pili ni wale ambao hawajampokea Yesu.<\/strong><\/p>\n<p><strong>kundi la kwanza (watu ambao hawajaokoka)<\/strong>: kama umeokoka kikamilifu.\u00a0 Basi kuna uwezekano Mungu anakutahadharisha tukio lililopo mbele yako, aidha kuna ajali inakuja, au itatokea kwa mtu mwingine unayemfahamu,\u00a0 Hivyo \u00a0unachopaswa kufanya, ni kuzama katika maombi ya kina kuharibu hiyo mipango ya adui. ..(Soma <strong>Ayubu 33:14-15<\/strong>)<\/p>\n<p><strong>Kundi la Pili: Kwa ambaye hajaokoka.<\/strong><\/p>\n<p>Ikiwa wewe haujaokoka, yaani Kristo hayupo ndani yako). Ujue ndoto hiyo ni ishara ya tahadhari kubwa sana kwako. Kwamba kipindi si kirefu kuna kuna janga litakupata.<\/p>\n<p>Fuatilia habari hii;<\/p>\n<p><em>Ezekieli 7: 6 \u201cMwisho umekuja, mwisho huu umekuja; unaamka ukupate; angalia, unakuja.<\/em><\/p>\n<p><em>7 AJALI YAKO IMEKUJIA, wewe ukaaye katika nchi hii; majira yamewadia, siku ile inakaribia; siku ya fujo, wala si ya shangwe milimani.<\/em><\/p>\n<p><em>8 BASI HIVI KARIBU NITAMWAGA GHADHABU YANGU JUU YAKO, nitazitimiza hasira zangu juu yako, nami nitakuhukumu sawasawa na njia zako; nami nitakupatiliza machukizo yako yote.<\/em><\/p>\n<p><em>9 Jicho langu halitaachilia, wala sitaona huruma; nitakupatiliza njia zako na machukizo yako yote yatakuwa katikati yako; nanyi mtajua ya kuwa mimi, Bwana, napiga.<\/em><\/p>\n<p><em>10 <strong>ANGALIA, SIKU HIYO; ANGALIA, INAKUJA; AJALI YAKO IMETOKE<\/strong>A; fimbo imechanua, kiburi kimechipuka\u201d.<\/em><\/p>\n<p>Umeona? Ikiwa\u00a0 wewe ni mzinzi, basi fahamu kuwa kuna ajali ya Ukimwi ipo mbele yako,\u00a0 ikiwa wewe ni fisadi ajali ya vifungo\u00a0 inakuja, wewe ni mwizi ajali ya kifo inakuja, wewe ni mshirikina ajali ya ziwa la moto inakuja.<\/p>\n<p>Je bado unasubiri mpaka hayo yakukute? ,Tubu leo na\u00a0 Yesu atakusamehe, na kukunusuru na hayo yote. Angeweza kukaa kimya tu, hayo mambo yakutokee, lakini kwasababu anakupenda ndio maana anakuonya mapema.. Hivyo mpokee leo na kubatizwa.<\/p>\n<hr \/>\n<p style=\"text-align: center;\"><strong><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2021\/12\/13\/kuota-unajenga-nyumba\/\">KUOTA UNAJENGA NYUMBA<\/a><\/strong><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><strong><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2021\/12\/30\/kuota-mti-umeanguka\/\">KUOTA MTI UMEANGUKA<\/a><\/strong><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><strong><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2021\/12\/06\/kuota-unaokota-hela\/\">KUOTA UNAOKOTA HELA<\/a><\/strong><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Mtu anaweza kuota kapata ajali ya pikipiki, au ya gari, wengine wengine ajali za ndege, wengine treni, katika namna tofauti tofauti. Wengine wanaota mtu kagongwa na gari, au magari yanagonga gongana n.k\u2026 Sasa hizi ndoto zinawajia watu wa makundi makuu mawili 1.) Kundi la kwanza ni waliompokea Yesu (yaani waliokoka). 2) Kundi la pili ni&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":248,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/254"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=254"}],"version-history":[{"count":10,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/254\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":264,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/254\/revisions\/264"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/248"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=254"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=254"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=254"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}