{"id":1663,"date":"2024-08-10T15:34:11","date_gmt":"2024-08-10T15:34:11","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1663"},"modified":"2024-08-10T15:34:11","modified_gmt":"2024-08-10T15:34:11","slug":"apitaye-cheo-ni-mtu-wa-namna-gani","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2024\/08\/10\/apitaye-cheo-ni-mtu-wa-namna-gani\/","title":{"rendered":"Apitaye cheo ni mtu wa namna gani?"},"content":{"rendered":"<p>Shalom.<\/p>\n<p>Mtu apitaye cheo ni mtu wa namna gani?<\/p>\n<p>turejee..<\/p>\n<blockquote><p>2Yohana 1:9 \u201cKILA APITAYE CHEO, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia\u201d.<\/p><\/blockquote>\n<p>Cheo ni kipimo..<br \/>\nMfano mtu mwenye cheo\/nafasi kubwa katika kazi Fulani basi ana cheo kikubwa katika kazi hiyo, au Mtu mwenye nafasi kubwa Serikalini kuliko wenzake tunasema kuwa ana cheo kikubwa..<\/p>\n<blockquote><p>Marko 6:21 \u201cHata ilipotokea siku ya kufaa, na Herode, sikukuu ya kuzaliwa kwake, alipowafanyia karamu wakubwa wake, na majemadari, na watu wenye cheo wa Galilaya\u201d<\/p><\/blockquote>\n<p>Au tuchukulie mantiki ya kiumri; mwenye umri mkubwa zaidi ana cheo zaidi..<\/p>\n<blockquote><p>Mwanzo 43:33 \u201cWakaketi mbele yake, mzaliwa wa kwanza kwa cheo cha kuzaliwa kwake, na mdogo kwa udogo wake; watu hao wakastaajabu wao kwa wao\u201d.<\/p><\/blockquote>\n<p>Sasa Je? Mtu apitaye CHEO ni mtu Gani?<\/p>\n<p>Kulingana na muktadha wa andiko hilo ni &#8220;avukaye kipimo au mipaka ya mafundisho ya Yesu Kristo&#8221;<br \/>\nAu kwa lugha rahisi zaidi ni yule anayehalalisha dhambi<br \/>\nMfano imeagizwa USIZINI, usiibe; Yeye anatafuta namna ya kuhalalisha dhambi hiyo ingali moyoni mwake anajua wazi kabisa kuwa ni chukizo na imekatazwa! Lakini sababu tu anaitamani anaihalalisha.<\/p>\n<p>Hivyo tunapaswa kudumu na kuliishi neno la Mungu kwa maana Limehakikishwa! Hakuna anayeweza kulirekebisha..<\/p>\n<blockquote><p>Mithali 30:5 \u201cKila neno la Mungu limehakikishwa; Yeye ni ngao yao wamwaminio.<\/p>\n<p>6 Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo\u201d.<\/p><\/blockquote>\n<p>Tena hukumu ya dhambi hiyo ya KUPITA cheo Cha mafundisho ya Kristo inatajwa katika ufunuo 22:18<\/p>\n<blockquote><p>Ufunuo 22:18 \u201cNamshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki\u201d.<\/p><\/blockquote>\n<p>Bwana Atusaidie tusivuke cheo, Bali tukifikie (Waefeso 4:13)<\/p>\n<p>Ubarikiwe sana<\/p>\n<p>Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Shalom. Mtu apitaye cheo ni mtu wa namna gani? turejee.. 2Yohana 1:9 \u201cKILA APITAYE CHEO, wala asidumu katika mafundisho ya Kristo, yeye hana Mungu. Yeye adumuye katika mafundisho hayo, huyo ana Baba na Mwana pia\u201d. Cheo ni kipimo.. Mfano mtu mwenye cheo\/nafasi kubwa katika kazi Fulani basi ana cheo kikubwa katika kazi hiyo, au Mtu&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":6,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1663"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/6"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1663"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1663\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1664,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1663\/revisions\/1664"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1663"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1663"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1663"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}