{"id":1656,"date":"2024-08-09T23:29:29","date_gmt":"2024-08-09T23:29:29","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1656"},"modified":"2024-08-09T23:29:29","modified_gmt":"2024-08-09T23:29:29","slug":"kuota-ngombe-unakimbizwa-umempanda-n-k","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2024\/08\/09\/kuota-ngombe-unakimbizwa-umempanda-n-k\/","title":{"rendered":"Kuota Ng\u2019ombe (Unakimbizwa, umempanda n.k)"},"content":{"rendered":"<p><strong>Angalizo:<\/strong> Ndoto inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja, hivyo baada ya kusoma tafsiri hizi, ni vyema ukaketi na kumwuliza Roho Mtakatifu kwa uthibitisho kamili.<\/p>\n<hr \/>\n<p>Kibiblia <strong>Ng\u2019ombe<\/strong> anawakilisha <strong>\u201cMwaka\u201d<\/strong>.\u00a0 Kama kabla ya kulala ulikuwa huwazi mambo ya Ng\u2019ombe wala kuyatafakari kwa siku hiyo, halafu ukajikuta usiku au mchana umeota Ng\u2019ombe, aidha anakukimbiza, au wewe unamchunga, basi ifuatayo inaweza kuwa tafsiri yake.<\/p>\n<p>Ng\u2019ombe kibiblia anawakilisha <strong>\u201cMwaka\u201d..<\/strong> akiwa mmoja ni mwaka mmoja, wakiwa wawili ni miaka miwili,\u2026wakiwa saba ni miaka saba n.k<\/p>\n<blockquote><p>Mwanzo 41:26 \u201cWale ng&#8217;ombe saba wema ni miaka saba; na yale masuke saba mema ni miaka saba. Ndoto ni moja.<\/p>\n<p>27 Na wale ng&#8217;ombe saba, dhaifu, wabaya, waliopanda baada yao, ni miaka saba; na yale masuke saba matupu yaliyokaushwa na upepo wa mashariki, yatakuwa miaka saba ya njaa\u201d.<\/p><\/blockquote>\n<p>Kwahiyo ukiona Ng\u2019ombe anakufukuza basi huenda huo mwaka uliopo, unamisuko suko mingi, au utakuwa na misukosuko mingi..Suluhisho ni kumkaribia Mungu Zaidi na kuomba..<\/p>\n<p>Vile vile ukiona umempanda Ng\u2019ombe na anakimbia sana kwa hatari basi vile vile huo mwaka utakubeba lakini utakuwa na hatari nyingi..<\/p>\n<p>Ukiona unamchunga Ng\u2019ombe vizuri na anatoa maziwa mengi, basi mwaka utakuwa wa neema, au kuna neema ikiwa utadumu katika Imani.<\/p>\n<p>Mbali na hayo, Ng\u2019ombe pia anaweza kuwakilisha roho za mapepo, kutegemea ndoto uliyoota. Kama hujampokea Yesu na umeota Ng\u2019ombe anakufukuza nawe unakimbia sana kwa hofu, huwenda pia upo mikononi mwa ibilisi, na anakuonea katika ulimwengu wa roho.<\/p>\n<p>Hivyo suluhisho ni kutubu na kumkaribisha Bwana YESU maishani mwako.<\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/12\/30\/kuota-umekufa\/\">KUOTA UMEKUFA<\/a><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/11\/17\/kuota-moto-umewaka\/\">KUOTA MOTO UMEWAKA<\/a><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/10\/12\/kuota-upo-jangwani-peke-yako\/\">KUOTA UPO JANGWANI PEKE YAKO<\/a><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/10\/26\/kuota-unakimbizwa-na-simba\/\">KUOTA UNAKIMBIZWA NA SIMBA<\/a><\/p>\n<p style=\"text-align: center;\"><a href=\"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2022\/10\/03\/kuota-mti-umeanguka-2\/\">KUOTA MTI UMEANGUKA<\/a><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Angalizo: Ndoto inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya moja, hivyo baada ya kusoma tafsiri hizi, ni vyema ukaketi na kumwuliza Roho Mtakatifu kwa uthibitisho kamili. Kibiblia Ng\u2019ombe anawakilisha \u201cMwaka\u201d.\u00a0 Kama kabla ya kulala ulikuwa huwazi mambo ya Ng\u2019ombe wala kuyatafakari kwa siku hiyo, halafu ukajikuta usiku au mchana umeota Ng\u2019ombe, aidha anakukimbiza, au wewe unamchunga,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":1657,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1656"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1656"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1656\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1658,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1656\/revisions\/1658"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media\/1657"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1656"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1656"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1656"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}