{"id":1547,"date":"2023-03-31T12:30:47","date_gmt":"2023-03-31T12:30:47","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1547"},"modified":"2023-03-31T12:30:47","modified_gmt":"2023-03-31T12:30:47","slug":"mtihani-wa-biblia-part-21","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2023\/03\/31\/mtihani-wa-biblia-part-21\/","title":{"rendered":"MTIHANI WA BIBLIA (part 21)"},"content":{"rendered":"<p>____Maswali ya biblia_____<\/p>\n<p>1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa.<\/p>\n<p>________________<br \/>\n2.je wana wa Asafu ni kabila gani?<\/p>\n<p>_________________<br \/>\n3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina?<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n5.Je ni Kwanini Yezebeli alimwua Nabothi?<\/p>\n<p>____________________<br \/>\n6.je Dada yake Absalomu aliitwa nani?<\/p>\n<p>____________________<br \/>\n7. Je Yuda mwana wa Yakobo. Alizaa watoto wa kiume wangapi?<\/p>\n<p>_____________________<br \/>\n8; katika biblia ni Malkia gani aliye itwa na mfalme akadharau wito wake na kutolewa nafasi ya umalkia.<\/p>\n<p>_____________________<br \/>\n9.je katika nyaraka za paulo ni kitabu gani alicho kiandika kwa lengo la kuwapatanisha ndugu wawili mtu na mfanya kazi wake walio koseana na kutengana kwa Muda mrefu?<\/p>\n<p>______________________<br \/>\n10. Ni nini maana ya wanikolai?<\/p>\n<p>_____________________<\/p>\n<p>BWANA YESU akubariki, shea na kwa wengine.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO WA KRISTO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>09\/02\/2023<\/p>\n<p>___MASAHIHISHO LEO____<\/p>\n<p>MTIHANI WA BIBLIA (part 21)<br \/>\n____Maswali ya biblia_____<\/p>\n<p>1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa.<\/p>\n<p>Jibu. AKANI MWANA WA ZERA<br \/>\nSoma. Yoshua 7:1-26<br \/>\n________________<br \/>\n2.je wana wa Asafu ni kabila gani?<\/p>\n<p>Jibu. LAWI<br \/>\nSoma. 1Nyakati 15:16-19<br \/>\n_________________<br \/>\n3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina?<\/p>\n<p>Jibu. NEBUKADNEZA<br \/>\nSoma. Danieli 4:9-15<br \/>\n___________________<br \/>\n4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?<\/p>\n<p>Jibu. MIKALI BINTI SAULI<br \/>\nSoma.1Samweli 18:27<br \/>\n___________________<br \/>\n5.Je ni Kwanini Yezebeli alimwua Nabothi?<\/p>\n<p>Jibu. Ni kwasababu ya kiwanja cha Nabothi alichokuwa anakitaka mfalme Ahabu alipo kosa ndipo Yezebeli akaandaa njama za kumwua Nabothi<\/p>\n<p>Soma. 1WAFALME 21;1-6<br \/>\n____________________<br \/>\n6.je Dada yake Absalomu aliitwa nani?<\/p>\n<p>Jibu. TAMALI<br \/>\nSoma. 2Samweli 13:1<br \/>\n____________________<br \/>\n7. Je Yuda mwana wa Yakobo. Alizaa watoto wa kiume wangapi?<\/p>\n<p>Jibu. WATOTO WATANO<br \/>\nKWA SHUA WATOTO WATATU<br \/>\n1.ERI<br \/>\n2.ONANI<br \/>\n3.SHELA<\/p>\n<p>. KWA TAMARI WAWILI<br \/>\n1.ZERA<br \/>\n2.PERESI<br \/>\nSoma.28;1-30<br \/>\n_____________________<br \/>\n8; katika biblia ni Malkia gani aliye itwa na mfalme akadharau wito wake na kutolewa nafasi ya umalkia.<\/p>\n<p>Jibu. VASHTI<br \/>\nSoma. Esta 1;1-22<br \/>\n_____________________<br \/>\n9.je katika nyaraka za paulo ni kitabu gani alicho kiandika kwa lengo la kuwapatanisha ndugu wawili mtu na mfanya kazi wake walio koseana na kutengana kwa Muda mrefu?<\/p>\n<p>Jibu. KITABU CHA FILEMONI<br \/>\nUpatanishi kati ya FILEMONI na ONESIMO<\/p>\n<p>Soma. Filemoni 1;8-21<\/p>\n<p>Ikiwa unahitaji ufafanuzi Zaidi wa kitabu hiki cha filemoni tutafute kwa namba hizi<br \/>\n0652274252 au 0693036618<br \/>\n______________________<br \/>\n10. Ni nini maana ya wanikolai?<\/p>\n<p>Jibu. (Wateka madhabahu) watumishi wauongo wanaoleta mafundisho ya kibinadamu kanisani yasiyo ya ROHO MTAKATIFU na NENO LA MUNGU<\/p>\n<p>Soma. ufunuo 2:5-6<\/p>\n<p>Pia ukihitaji kujifunza zaidi kwa habari ya wanikolai ni watu gani na madhara yao ndani ya kanisa tutafute kwa namba hizi 0652274252 au 0693036618<br \/>\n_____________________<\/p>\n<p>BWANA YESU akubariki, shea na kwa wengine.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO WA KRISTO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani aliye wakosesha Israeli kupigwa walipo enda kipigana naTaifa Ai Taifa dogo sana, na kupelekea Israel kupigwa. ________________ 2.je wana wa Asafu ni kabila gani? _________________ 3.Je nimfalme gani aliye oteshwa kuwa ufalme wake umekatwa kimebaki kisiki katika shina? ___________________ 4. Je mke wa kwanza aliye mwoa Daudi nia nani?&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1547"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1547"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1547\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1548,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1547\/revisions\/1548"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1547"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1547"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1547"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}