{"id":1540,"date":"2023-03-31T12:27:17","date_gmt":"2023-03-31T12:27:17","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1540"},"modified":"2023-03-31T12:27:17","modified_gmt":"2023-03-31T12:27:17","slug":"mtihani-wa-biblia-part-19","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2023\/03\/31\/mtihani-wa-biblia-part-19\/","title":{"rendered":"MTIHANI WA BIBLIA (PART 19)"},"content":{"rendered":"<p>____Maswali ya biblia_____<\/p>\n<p>1.je ni nani mfalme gani aliye ingia katika hekalu la Mungu na kufukiza uvumba kama kuhani Mungu akampiga kwa ukoma?<\/p>\n<p>______________<br \/>\n2. Je. Amri ya tatu inasemaje?<\/p>\n<p>_______________<br \/>\n3.je ni makosa gani ambayo daudi alimkosea Mungu hata,. Mungu akamwadhibu?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n4.je wana wa Yusufu wakiume walikuwa wangapi na ni akina nani?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n5. Maana ya Shalomu?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n6.ni mifupa ya nani iliyo fufua mtu katika biblia?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n8.je Bwana Yesu alifanya miujiza ya kuongeza samaki na mikate mara ngapi?<\/p>\n<p>______________<br \/>\n9.je stefano alikufa kwa kifo gani?<\/p>\n<p>______________<br \/>\n10.katika mitume wa Yesu (thenashara) ni wangapi vifo vyao vimerekodiwa katika biblia.<\/p>\n<p>_____________<\/p>\n<p>Bwana Yesu akubariki, shea na kwa wengine.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>07\/02\/2023<\/p>\n<p>___MASAHIHISHO LEO____<\/p>\n<p>MTIHANI WA BIBLIA (PART 19)<br \/>\n(Maswali ya biblia)<\/p>\n<p>1.je ni nani mfalme gani aliye ingia katika hekalu la Mungu na kufukiza uvumba kama kuhani Mungu akampiga kwa ukoma?<\/p>\n<p>Jibu. MFALME UZIA<br \/>\nSoma. 2nyakati 26;16-23<br \/>\n______________<br \/>\n2. Je. Amri ya tatu inasemaje?<\/p>\n<p>Jibu.Kutoka 20:7<br \/>\nUsilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.<br \/>\n_______________<br \/>\n3.je ni makosa gani ambayo daudi alimkosea Mungu hata,. Mungu akamwadhibu?<\/p>\n<p>Jibu. 1)UZINZI NA KUUWA PASIPO HATIA<br \/>\nalizini na mke wa Uria kisha baadaye akamwua Uria katika vita<br \/>\nSoma. 2samweli 11:1-17<\/p>\n<p>2)Aliwahesabu Israeli kwa kutaka kujitumainisha juu ya jeshi lake badala ya Mungu.<br \/>\nSoma. 1Nyakati 21;1-17<br \/>\n________________<br \/>\n4.je wana wa Yusufu wakiume walikuwa wangapi na ni akina nani?<\/p>\n<p>Jibu. Wawili<br \/>\n1)Manase<br \/>\n2)Efraimu<br \/>\nSoma. Mwanzo 41;50-52<br \/>\n________________<br \/>\n5. Maana ya Shalomu?<\/p>\n<p>Jibu. AMANI<br \/>\nSoma. Waamuzi 6;24<\/p>\n<p>________________<br \/>\n6.ni mifupa ya nani iliyo fufua mtu katika biblia?<\/p>\n<p>Jibu. ELISHA<br \/>\nSoma. 2wafalme 13:20-21<br \/>\n________________<br \/>\n8.je Bwana Yesu alifanya miujiza ya kuongeza samaki na mikate mara ngapi?<\/p>\n<p>Jibu. MARA MBILI<br \/>\n1)Aliwalisha makutano kwa hesabu ya wanaume tuu 4000 (bila wanawake watoto kuhesabiwa) Kwa Mikate 7 na visamaki vichache<br \/>\nSoma. Malko 8;3-9<\/p>\n<p>2)Aliwalisha makutano wanaume 5000 (bila hesabu ya wanawake na watoto) kwa mikate 5 na visamaki 2.<br \/>\nSoma. Yohana 6;8-10<br \/>\n______________<br \/>\n9.je stefano alikufa kwa kifo gani?<\/p>\n<p>Jibu. KWA KUPIGWA MAWE<br \/>\nSoma. Matendo ya mitume 7;54-60<br \/>\n______________<br \/>\n10.katika mitume wa Yesu (thenashara) ni wangapi vifo vyao vimerekodiwa katika biblia.<\/p>\n<p>Jibu. WAWILI<br \/>\n1)YUDA. Alijinyonga<br \/>\nsoma Mathayo 27:3-5<br \/>\n2)YAKOBO. Alikatwa kichwa na Mfalme Helode.<br \/>\nsoma matendo 13;1<br \/>\n_____________<\/p>\n<p>Bwana Yesu akubariki, shea na kwa wengine.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>____Maswali ya biblia_____ 1.je ni nani mfalme gani aliye ingia katika hekalu la Mungu na kufukiza uvumba kama kuhani Mungu akampiga kwa ukoma? ______________ 2. Je. Amri ya tatu inasemaje? _______________ 3.je ni makosa gani ambayo daudi alimkosea Mungu hata,. Mungu akamwadhibu? ________________ 4.je wana wa Yusufu wakiume walikuwa wangapi na ni akina nani? ________________&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1540"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1540"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1540\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1541,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1540\/revisions\/1541"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1540"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1540"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1540"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}