{"id":1527,"date":"2023-03-31T12:19:56","date_gmt":"2023-03-31T12:19:56","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1527"},"modified":"2023-03-31T12:19:56","modified_gmt":"2023-03-31T12:19:56","slug":"mtihani-wa-biblia-part-13-maswali-ya-biblia","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2023\/03\/31\/mtihani-wa-biblia-part-13-maswali-ya-biblia\/","title":{"rendered":"MTIHANI WA BIBLIA (PART 13) (MASWALI YA BIBLIA)"},"content":{"rendered":"<p>1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake?<\/p>\n<p>_______________<br \/>\n3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme?<\/p>\n<p>____________________<br \/>\n4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi?<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa agizo la Bwana?<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n6.Ni mfalme gani aliye tumia vyombo vya hekaluni kwa anasa Mungu akamwadhibu siku hiyo hiyo?<\/p>\n<p>_______________<br \/>\n7.Je ni nabii gani aliye tabiri kutoroka kwa mfalme Sedekia kwa kuuvunja ukuta wa yerusalemu kisha kukamatwa na kupelekwa babeli?<\/p>\n<p>________________<br \/>\n8.Ni nabii gani aliye tabiri kukamatwa kwa paulo na kufungwa miguu na mikono?<\/p>\n<p>__________________<br \/>\n9.je ni Nabii gani aliye tabiri (wakati wa kanisa la kwanza la mitume) ujio wa njaa kubwa kutokea katika dunia nzima katika siku za Klaudio.<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n10.Je ni nani aliye itabiria Yuda kuwa yeyote atakaye baki hapo Yuda atakufa kwa makali ya upanga na kwa njaa ,bali atakaye toka kumtumikia mfalme wa Babeli ataishi?<\/p>\n<p>____________________<\/p>\n<p>Mtihani mwema Mjoli wa BWANA.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>01\/03\/2023<\/p>\n<p>MASAHIHISHO YA MTIHANI LEO<\/p>\n<p>MTIHANI WA BIBLIA (PART 13)<br \/>\n(MASWALI YA BIBLIA)<\/p>\n<p>1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa?<\/p>\n<p>Jibu. MIKALI<br \/>\nSoma. 1Samweli 18:27-28<br \/>\n________________<br \/>\n2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake?<\/p>\n<p>Jibu. YORDANI<br \/>\nSoma.2Wafalme 5:10-14<br \/>\n_______________<br \/>\n3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme?<\/p>\n<p>Jibu. YUDA<br \/>\nSoma. Mwanzo 49:10 pia soma. 2Samweli 7:16-17<br \/>\n____________________<br \/>\n4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi?<\/p>\n<p>Jibu. Mara tatu<br \/>\n=Mara ya kwanza Bethlehemu (nyumbani kwa Yese) 1samweli 16:12-13<br \/>\n=Mara ya pili Hebroni kuwa mfalme wa Yuda 2samweli 2:3-4<br \/>\n=Mara ya tatu Hebron kuwa mfalme wa Israeli. Soma 2Samweli 5:2-4<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa agizo la Bwana?<\/p>\n<p>Jibu. ANTIOKIA<br \/>\nSoma. Matendo ya mitume 13:1-3<br \/>\n___________________<br \/>\n6.Ni mfalme gani aliye tumia vyombo vya hekaluni kwa anasa Mungu akamwadhibu siku hiyo hiyo?<\/p>\n<p>Jibu. BELSHAZA (mfalme wa Babeli)<br \/>\nSoma. Danieli 5:1-31<br \/>\n_______________<br \/>\n7.Je ni nabii gani aliye tabiri kutoroka kwa mfalme Sedekia kwa kuuvunja ukuta wa yerusalemu kisha kukamatwa na kupelekwa babeli?<\/p>\n<p>Jibu. NABII EZEKIELI<br \/>\nSoma. Ezekieli 12:1-13<br \/>\n________________<br \/>\n8.Ni nabii gani aliye tabiri kukamatwa kwa paulo na kufungwa miguu na mikono?<\/p>\n<p>Jibu. NABII AGABO<br \/>\nSoma. Matendo ya mitume 21:10-13<br \/>\n__________________<br \/>\n9.je ni Nabii gani aliye tabiri (wakati wa kanisa la kwanza la mitume) ujio wa njaa kubwa kutokea katika dunia nzima katika siku za Klaudio.<\/p>\n<p>Jibu. NABII AGABO<br \/>\nSoma. Matendo ya mitume 11:28<br \/>\n___________________<br \/>\n10.Je ni nani aliye itabiria Yuda kuwa yeyote atakaye baki hapo Yuda atakufa kwa makali ya upanga na kwa njaa ,bali atakaye toka kumtumikia mfalme wa Babeli ataishi?<br \/>\nJibu. NABII YEREMIA<br \/>\nSoma. Yeremia 21:1-10<\/p>\n<p>____________________<\/p>\n<p>BWANA YESU akubariki Mjoli wa BWANA.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>1.je ni mtoto gani wa sauli ambaye Daudi alimwoa? ________________ 2.Naamani alienda kujiosha katika mto gani kutakaswa ukoma wake? _______________ 3. Katika kabila za Israeli ni kabila gani ulikuwa uzao wa kifalme? ____________________ 4.Je Daudi alipakwa mafuta mara ngapi na wapi? ___________________ 5.Je ni mji gani ambao Barnaba na Paulo waliwekewa mikono na kanisa kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1527"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1527"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1527\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1528,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1527\/revisions\/1528"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1527"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1527"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1527"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}