{"id":1521,"date":"2023-03-31T12:11:12","date_gmt":"2023-03-31T12:11:12","guid":{"rendered":"https:\/\/ndotozangu.com\/?p=1521"},"modified":"2023-03-31T12:11:12","modified_gmt":"2023-03-31T12:11:12","slug":"26-02-2023-mtihani-wa-biblia-part-10-maswali-ya-biblia","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/2023\/03\/31\/26-02-2023-mtihani-wa-biblia-part-10-maswali-ya-biblia\/","title":{"rendered":"26\/02\/2023  MTIHANI WA BIBLIA (PART 10) (MASWALI YA BIBLIA)"},"content":{"rendered":"<p>1.je! sanduku la agano lilitengenezewa kwa mbao za mti gani?<\/p>\n<p>___________________<br \/>\n2.je katika Israeli ni kabila gani ambalo Mungu aliliondoa katika kitabu cha ufunuo kwa sababu ya uovu wao na kuwapa nafasi hiyo wana wa Yusufu?<\/p>\n<p>______________________<br \/>\n3.Je katika biblia ni nani aliye weka nadhiri ya kuwa akishinda vita ananapo ludi nyumbani wakwanza kumlaki itakuwa sadaka ya Kuteketezwa kwa Bwana na akatoka binti yake?<\/p>\n<p>_________________________<br \/>\n4. A) Je! Ni mfalme gani aliye tawala Israeli kwa muda mchache kuliko wote?<br \/>\n__________________<\/p>\n<p>B)je! ni mfalme gani aliye tawala yuda kwa muda mrefu zaidi kuliko wote?<\/p>\n<p>___________________<\/p>\n<p>5.je YESHURUNI ni nani?<\/p>\n<p>__________________<br \/>\n6. Je! Paulo baada tu ya kuokoka alienda mji gani?<\/p>\n<p>_________________<br \/>\n7.je andiko hili lapatikana wapi katika biblia (mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume)?<\/p>\n<p>__________________<br \/>\n8.je ni mji gani ambako Bwana Yesu aligeuza Maji kuwa divai?<\/p>\n<p>__________________<br \/>\n9. Taja tofauti za imani zinazo watofautisha mafarisayo na masadukayo?<\/p>\n<p>__________________<br \/>\n10.je ni mji gani katika biblia ambao Bwana Mungu aliuteketeza kwa moto?<\/p>\n<p>___________________<\/p>\n<p>Mtihani mwema mjoli wa Bwana.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>&nbsp;<\/p>\n<p>26\/02\/2023<\/p>\n<p>MAJIBU YA MTIHANI LEO<\/p>\n<p>MTIHANI WA BIBLIA (PART 10)<br \/>\n(MASWALI YA BIBLIA)<\/p>\n<p>1.je! sanduku la agano lilitengenezewa kwa mbao za mti gani?<\/p>\n<p>Jibu. MTI WA MSHITA<br \/>\nSoma. Kutoka 25:10<br \/>\n___________________<br \/>\n2.je katika Israeli ni kabila gani ambalo Mungu aliliondoa katika kitabu cha ufunuo kwa sababu ya uovu wao na kuwapa nafasi hiyo wana wa Yusufu?<\/p>\n<p>Jibu. Kabila la DANI<br \/>\nSoma .ufunuo 7:4-8<\/p>\n<p>Sababu ya Mungu kuliondoa kabila hilo ni.<br \/>\n==Ndio kabila la kwanza kuleta miungu mingine katika Israeli walipo fika katika nchi ya kaanani.<br \/>\nSoma waamuzi 18:1-31<\/p>\n<p>______________________<br \/>\n3.Je katika biblia ni nani aliye weka nadhiri ya kuwa akishinda vita ananapo ludi nyumbani wakwanza kumlaki itakuwa sadaka ya Kuteketezwa kwa Bwana na akatoka binti yake?<\/p>\n<p>Jibu. YEFTHA<br \/>\nSoma. 11:34-40<br \/>\n_________________________<br \/>\n4. A) Je! Ni mfalme gani aliye tawala Israeli kwa muda mchache kuliko wote?<\/p>\n<p>Jibu. ZIMRI (siku 7)<br \/>\nSoma. 1Wafalme16:9-20<br \/>\n__________________<\/p>\n<p>B)je! ni mfalme gani aliye tawala yuda kwa muda mrefu zaidi kuliko wote?<\/p>\n<p>Jibu. MANASE (miaka 55)<br \/>\nSoma. 2Wafalme 21:1-18<br \/>\n___________________<\/p>\n<p>5.je YESHURUNI ni nani?<\/p>\n<p>Jibu. TAIFA LA ISRAELI<br \/>\nSoma. Isaya 44:1-2<br \/>\n__________________<br \/>\n6. Je! Paulo baada tu ya kuokoka alienda mji gani?<\/p>\n<p>Jibu. ARABUNI<br \/>\nSoma. Wagalatia 1:13-18<br \/>\n_________________<br \/>\n7.je andiko hili lapatikana wapi katika biblia (mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume)?<\/p>\n<p>Jibu. Kumbukumbu la torati 22:5<br \/>\n__________________<br \/>\n8.je ni mji gani ambako Bwana Yesu aligeuza Maji kuwa divai?<\/p>\n<p>Jibu. Kana ya Galilaya<br \/>\nSoma. Yohana 2:1-12<br \/>\n__________________<br \/>\n9. Taja tofauti za imani zinazo watofautisha mafarisayo na masadukayo?<\/p>\n<p>Jibu. Mafarisayo wana amini yote.<\/p>\n<p>Masadukayo<br \/>\ni)Hawa amini ufufuo wa wafu<br \/>\nii)Hawa amini kuwa kuna malaika<br \/>\niii) hawa amini roho (roho ya mtu kuishi baada ya kufa, )<br \/>\nSoma. Matendo ya mitume 23:6-8<br \/>\n__________________<br \/>\n10.je ni mji gani katika biblia ambao Bwana Mungu aliuteketeza kwa moto?<\/p>\n<p>Jibu. SODOMA NA GOMORA<br \/>\nSoma. Yuda 1:7<br \/>\n___________________<\/p>\n<p>BWANA YESU awabariki sana.<\/p>\n<p>@NURU YA UPENDO<br \/>\nwww.wingulamashahidi.org<br \/>\n0652274252 au 0693036618<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>1.je! sanduku la agano lilitengenezewa kwa mbao za mti gani? ___________________ 2.je katika Israeli ni kabila gani ambalo Mungu aliliondoa katika kitabu cha ufunuo kwa sababu ya uovu wao na kuwapa nafasi hiyo wana wa Yusufu? ______________________ 3.Je katika biblia ni nani aliye weka nadhiri ya kuwa akishinda vita ananapo ludi nyumbani wakwanza kumlaki itakuwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":[],"categories":[1],"tags":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1521"}],"collection":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=1521"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1521\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":1522,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/1521\/revisions\/1522"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=1521"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=1521"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/ndotozangu.com\/index.php\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=1521"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}