1.
Nani alikua Mfalme wa mwisho wa Yuda na Yerusalemu? ( 36:11)
2.
Baada ya Eliakimu kuwa Mfalme jina lake lilibadilishwa na kuitwa nani? ( 36:4)
3.
Sulemani alijenga nyumba ya Bwana juu ya mlima upi? (3:1)
4.
Sulemani alijenga nyumba ya Bwana kwa jina la nani? (2:1)
5.
Sulemani alijenga nyumba ya Bwana wapi? (3:1)
6.
Nani alimjaribu Sulemani kwa maswali ya mafumbo? (9:1)
7.
Kwanini Asa akimwondoa mama yake katika cheo chake? (15:16)
8.
Nani alishikwa na ugonjwa wa miguu na kutafuta msaada kwa waganga kumtibu? (16:12)
9.
Mama wa Ahazia alipoona mwanawe amekufa alifanyaje? (22:10)
10.
Nani alikua na wake 18 na suria 60? (11:21)
11.
Yonathani alikua na miaka mingapi alipoanza kutawala Yerusalemu? (27:1)