1.
Ni wapi ambapo Sulemani alipata farasi wengi? (1:16)
2.
Sulemani alijenga nyumba ya Bwana wapi? ( 3:1-2)
3.
Ni kitu gani Mungu alitaka kwa watu wake ili aweze kuwasikia toka mbinguni? (7:14)
4.
Kiti cha Mfalme Sulemani kilitengenezwa na nini? (9:17)
5.
Nani alimwambia Rehoboamu asipande kupigana na Israeli bali kurudi kila mtu nyumbani kwake? (11:1-4)
6.
Sulemani alitawala miaka mingapi? (9:30)
7.
Kwanini Rehoboamu alitenda maovu? (12:14)
8.
Asa alimtenda nini Hanani baada ya maneno aliyomwambia? (16:10)
9.
Watu wa Walawi walimsifu Mungu kwa? (20:18-19)
10.
Kitabu hichi kina sura ngapi?
11.
Yoashi alitawala akiwa na miaka mingapi? (24:1)
12.
Ni mfalme yupi alijenga Bethlehemu Etamu na Tekoa? (11:5-6)
13.
Manase alitawala Yerusalemu kwa miaka mingapi? (33:1)
14.
Sulemani alitokewa na Mungu mara ngapi katika kitabu hichi? (7:12)
15.
Mama yake Yoashi aliitwa nani? ( 24:1)