1.
Nani alitabiri kuhusu kifo cha Yehoramu? (21:12-20)
2.
Nani alikua mshauri wa Mfalme Ahazia kufanya maovu? (22:1-4)
3.
Athalia alifanya nni Yoashi alipofanywa Mfalme wa Yuda? (23:12-13)
4.
Ni kwa mda gani Yoashi alifanya mema machoni pa Bwana? (24:1-2)
5.
Ni ujuzi gani Uzia alifanya huko Yerusalemu? (26:15)
6.
Makuhani walimwambia Uzia asifanye nini? (26:17-18)
7.
Ni ugonjwa gani Bwana alimpatia Uzia alipokuwa na hasira nae? (26:19)
8.
Nani aliandika mambo yote ya Uzia katika mazishi yake? (26:22-23)
9.
Ni nani aliwaambia jeshi la Israeli kutowarudisha mateka wana wa Yuda? (29:9-13)
10.
Hezekia aliwaalika Waisraeli na Yuda pia kusheherekea nini huko Yerusalemu? (30:1-1)
11.
Ni kitu gani Hezekia aliwaamuru watu wafanye? (31:4-8)
12.
Nani alitangaza kujenga nyumba ya Bwana katika Yerusalemu? (36:22-23)
13.
Ni kwa miaka mingapi waliochukuliwa Babeli walitumikia huko milki ya Uajemi? ( 36:17-21)
14.
Sedekia alikataa kijinyeyekesha mbele za Mungu na nabii nani? (36:12)
15.
Yosia alifanya kila mtu wa Israeli na Benyamini kufanya nini? (34-29-33)
Ahsante kwa mafundisho