1.
Yupi kati ya hawa alikua katika orodha ya waliorudi kutoka uhamishoni? Ezra 2:2
2.
Wana wa Paroshi walikua wangapi? Ezra 2:2
3.
Watu wa Tiro na Sidoni walipewa chakula , vinywaji na mafuta ili walete nini? Ezra 3:7
4.
Ezra hakula wala kunywa kwa kua alikua analia kwa sababu ya nini? Ezra 10:6
5.
Watu wa Israeli walimtenda dhambi Mungu kwa kosa gani? Ezra 10:11
6.
Nani alinyenyekea mbele za Mungu kwa kurarua nguo, kunyoa nywele za kichwa, ndevu kwa ajili ya dhambi ya kuoa wake za kigeni? Ezra 9:3
7.
Safari ya Ezra kuelekea Yerusalemu walipofika katika mto kuelekea Ahava walipiga kambi siku ngapi? Ezra 8:15
8.
Kitabu cha Ezra kina sura ngapi?
9.
Wakati wa utawala wa Ahasuero aliwaandikia mashitaka wakina nani? Ezra 4:6
10.
Ni nani kati ya hawa alikua katika orodha ya kuoa wake wa kigeni? Ezra 10:18-44