1.
Ezra aliandaa moyo wake kufanya nini? (7:10)
2.
Ni kitu gani ambacho Yoshua na Zerubabeli walijenga? (3:2)
3.
Makuhani walipoona msingi wa nyumba ya Bwana kuwekwa mbele yao walifanya nini? (3:12)
4.
Watu wa nchi wakiwafanya nini Waisraeli wakati wanajenga hekalu la Bwana? (4:4)
5.
Mfalme wa kwanza wa Uajemi aliitwa nani?(1:1)
6.
Ni miaka mingapi ya kuanzia kuruhusiwa kujenga hekalu la Bwana? (3:8)
7.
Baba yake Ezra aliitwa nani? (7:1)
8.
Ni kitabu gani kinachofuata baada ya kitabu cha Ezra?
10.
Kitabu cha Ezra kina sura ngapi?