Ndoto hiyo ya kuota unapigana inaweza kumaanisha aidha upo kwenye mashindano au vita.. 1. UPO KWENYE MASHINDANO. Kwa namna ya kawaida, ikiwa kipo kitu Fulani ambacho kinathamani fulani, na wote mnakitamani au kukigombania ili mkipate, au mmoja anakizuia ili kisipatikane, ni rahisi kutokea kutokuelewa na mwisho wa siku mapigano, kwamfano wengine wanaishia kupigana kisa, fedha,…
Month: February 2022
UNAPOOTA UNAJIFUNGUA MAANA YAKE NINI?
Kama ulikuwa unawaza au kufikiri sana habari ya kuwa na mtoto, basi ni kawaida kuota ndoto za kujifungua kwasababu ndio kitu kinachoendelea kwa wingi katika mawazo yako na akili zako . Biblia inasema. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi;……”. Hivyo ndoto ya namna hii inapokujia ipuuzie tu!, kwasababu ni wanawake…
MAANA YA KUOTA UNACHIMBUA VIAZI, MIHOGO AU MADINI
Kama unajihusisha sana na shughuli za mashambani au bustanini ni kawaida kuota ndoto za namna hiyo, kwasababu si kila ndoto tunazoota zinatoka kwa Mungu au shetani, nyingi zinatengenezwa na miili yetu, kutokana na shughuli tunazozifanya mara kwa mara soma Mhubiri 5:3, Hivyo kama upo katika mazingira hayo, hiyo ni ndoto ya kawaida tu!, ipuuzie kwasababu…
KUOTA UPO NCHI ZA NJE.
Kikawaida mtu unapo safiri, huwa unakutana na mandhari nyingi na tofauti tofauti, sehemu nyingine utakutana na mandhari za joto, za mvua, sehemu nyingine utakutana na mazingira ya hatari Wana wa Israeli walipotolewa katika nchi yao, wakiwa njiani kuelekea Babeli walilia sana, zaidi sana wakaldayo waliwaambia wawaimbie nyimbo za nchini kwao, lakini walishindwa..na hawakuweza, kwa jinsi…
UNAPOOTA AJALI NINI MAANA YAKE?
Mtu anaweza kuota kapata ajali ya pikipiki, au ya gari, wengine wengine ajali za ndege, wengine treni, katika namna tofauti tofauti. Wengine wanaota mtu kagongwa na gari, au magari yanagonga gongana n.k… Sasa hizi ndoto zinawajia watu wa makundi makuu mawili 1.) Kundi la kwanza ni waliompokea Yesu (yaani waliokoka). 2) Kundi la pili ni…
TOAUTI YA NDOTO YA MUNGU NA YA SHETANI NI IPI?
Elimu juu ya ndoto imetanuka kidogo, Ndoto zimegawanyika katika makundi makuu matatu, 1) Ndoto zinazotengenezwa na miili yetu wenyewe (Mhubiri 5:3): Ndoto hizi zinakuja kutokana na shughuli mtu alizokuwa anazifanya kabla ya kulala au anazozifanya kila siku… Hiyo inasababisha ubongo wake kutawaliwa sehemu kubwa na shughuli hiyo, hivyo ni rahisi anapolala kuota yupo katika hiyo…